Kwanini Iran inazuiliwa kuwa silaha za nyuklia?

  • | BBC Swahili
    4,908 views
    Iran imekua na mpango wa tafiti za nyuklia kwa zaidi ya miaka 50 sasa na mara zote inasema kwamba mpango wake wa nyuklia ni kwa matumizi ya kiraia pekee. Lakini mataifa makubwa pamoja na shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za nyuklia, International Atomic Energy Agency (IAEA) — hawajaridhishwa na kauli hiyo. Lakini kwanini kumekuwa na mashaka kuhusu nia za Iran @munie_noor anatuchambulia taarifa hii - - #bbcswahili #iran #nyuklia #israel #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw