Watu10 wafariki, wengine 2 wajeruhiwa vibaya

  • | Citizen TV
    2,575 views

    Watu kumi wameaga dunia kwenye ajali ya barabarani eneo la VIP,Mai Mahiu kaunti ya Nakuru, katika barabara ya Mai-Mahiu kuelekea Nairobi. Trela lililokuwa likisafiri kutoka Nairobi liligonga magari matatu likiwemo gari la abiria, yaliyokuwa yameegeshwa kando ya barabara.