Madai dhidi ya Iran

  • | BBC Swahili
    5,923 views
    ‘Muda umeisha. Iran sasa inaweza kutengeneza silaha za nyuklia ndani ya muda mfupi, yawezekana ikawa saa, mwezi, mwaka au miaka,’ amesema mara kadhaa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Lakini je, madai haya ya Netanyahu yana uzito kiasi gani? Mwandishi wa BBC, Munira Hussen, anaangazia kwa kina ukweli ulio nyuma ya kauli hii. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw