Polisi wa zamani ahangaika baada ya kuacha kazi

  • | Citizen TV
    2,704 views

    Mbuti Lekapua aliyekuwa Afisa wa GSU kabla kuhamishiwa kikosi Cha polisi wa kawaida mwaka 2003,na kuacha kazi mwaka 2005 kutokana na msongo wa mawazo. Hii ni baada ya kuwapoteza jama zake wanne akiwemo mkewe, sasa anaiomba tume ya kuwaajiri maafisa wa polisi nchini NPSC kumrejesha kazini. Hata hivyo Mwenyekiti wa tume ya kuwaajiri Polisi nchini Eliud Kinuthia,amesema wanalenga kukagua faili zake ili kumsaidia.Mwanahabari wetu Bonface Barasa amemtembelea Mbuti mwenye umri wa miaka 52, nyumbani kwake katika kaunti ya Samburu na kuandaa taarifa ifuatayo.