Siku Ya Mtoto Wa Kiafrika: Mama Taifa awahimiza watoto wajinufaishe na elimu

  • | KBC Video
    26 views

    Mama taifa Rachael Ruto amewahimiza watoto humu nchini kutumia fursa ya upanuzi wa nafasi za elimu kupitia juhudi za serikali na washirika wake wa maendeleo kuweka msingi wa maisha bora katika siku za usoni.Mama taifa amesema upanuzi wa muundomsingi shuleni pamoja na uajiri wa walimu zaidi ni dhihirisho tosha la kujitolea kwa serikali kuboresha sekta ya elimu hapa nchini.Mama taifa alikuwa akiongea katika eneo la Mwatate ,kaunti ya Taita Taveta wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya motto wa Afrika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News