Kwa nini Donald Trump na Elon Musk wamekosana? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    14,109 views
    Nini kinatokea wakati mtu tajiri zaidi na mwanasiasa mwenye nguvu zaidi duniani wanashikana mashati? Ulimwengu unatazama, na sio picha nzuri. Donald Trump na Elon Musk wamekosana, na sasa kutoelewana kwao kumesababisha vita vikubwa vya maneno. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw