Waislamu waadhimisha sherehe za Eid-Ul-Adha kote nchini

  • | KBC Video
    7 views

    Waislamu humu nchini leo walikusanyika katika maeneo mbali mbali kuadhimisha Eid –Ul Adha, sherehe ambayo huadhimishwa siku ya 10 ya mwezi wa Dhul Hija kulingana na kalenda ya Kiislamu. Maadhimisho hayo huandaliwa kwa maombi na dhabihu ya kuwachinja wanyama kwa ukumbusho wa hiari ya nabii Ibrahim kumtoa dhabihu mwanawe kuambatana na amri ya Allah. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni kuishi pamoja kwa amani .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News