Vita Dhidi ya Uraibu I NACADA yazindua mkakati wa miaka-5

  • | KBC Video
    2 views

    Halmashauri ya Kitaifa ya kukabiliana na pombe na dawa za kulevya imezindua mkakati wa miaka mitano unaojumuisha miongoni mwa mambo mengine uhamasishaji wa wazazi milioni 10 kuhusu malezi bora na kubuni miongozo ya mafunzo katika taasisi za masomo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive