Skip to main content
Skip to main content

'Nilipewa dawa ili nirefuke'

  • | BBC Swahili
    36,869 views
    Duration: 14:52
    ‘Nina urefu wa sentimita 85, mimi ni mfupi sana’ Alice Mbere, 27, kutoka nchini Kenya, alizaliwa na kilo za kawaida lakini alipofika umri wa miaka mitano wazazi wake walibaini kuwa hana urefu wa kawaida na kuanza kutafuta ushauri kupitia madaktari tofauti. Alice ana urefu wa sentimita 85 pekee na mmoja kati ya watu wafupi zaidi nchini Kenya. Je, kimo chake kimekuwa na changamoto zipi? Alimsimulia Hamida Abubakar katika Waridi wa BBC. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw