9 Oct 2025 10:31 am | Citizen TV 229 views Duration: 1:50 Mwanaume mmoja Mkenya mwenye asili ya Italia ameshtakiwa kwa Ulaghai wa shilingi milioni 165 unaohusisha sehemu ya ardhi inayodaiwa kuwa ya familia maskini katika mpango wa makazi eneo la Chembe Kibabamuche kaunti ya Kilifi.