Skip to main content
Skip to main content

Viongozi walaani kitendo cha ubomoaji wa makazi Mkocheni

  • | Citizen TV
    921 views
    Duration: 2:15
    Viongozi wa kisiasa kaunti ya Taita Taveta wamekemea vikali ubomoaji wa nyumba uliofanywa Mkocheni eneo bunge la Taveta, ambapo wakazi zaidi ya 500 waliachwa bila makao.