9 Oct 2025 10:42 am | Citizen TV 206 views Duration: 1:18 Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi ameonyesha mafanikio yake baada ya miaka mitatu ofisini, akitaja afya, elimu na kilimo kuwa sekta bora zaidi.