- 1,240 viewsDuration: 3:29Tume Huru ya Uchaguzi na uratibu wa Mipaka IEBC imewaidhinisha wagombea watatu kuwania Kiti cha Mwakilishi wadi katika wadi ya Purko Kaunti ya Kajiado kwenye uchaguzi mdogo ambao utaandaliwa tarehe 27 mwezi ujao. Wagombea walioidhinishwa ni Amos Mpusia wa UDA, Daniel Naikuni wa ODM na Sanare Saidimu wa DCP .