- 1,314 viewsDuration: 4:08Miungano ya wahadhiri na wafanyikazi wa umma ipo kwenye mkutano wa faragha na serkali katika chuo kikuu cha kiufundi cha Machakos kujadili muafaka wa kukamilisha mgomo wa wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo vya umma ambao umeingia siku ya 21. Wahadhiri wamesisitiza mgomo huo hautaisha hadi walipwe fedha zao zote shilingi 7.9b kulingana na makubaliano yao za nyongezo ya misharaya ya mwaka 2017-2021