Skip to main content
Skip to main content

Mlinzi mmoja auwawa huku mwingine akijeruhiwa vibaya na genge la wahuni Kibingei

  • | Citizen TV
    1,665 views
    Duration: 2:27
    Mlinzi mmoja ameuawa huku mwingine akijeruhiwa vibaya na genge la wahuni wasiojulikana katika kiwanda cha kahawa cha Kibingei eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma. Na kama anavyotuarifu Ann Mwendwa, wahuni hao pia wanaaminika kuiba magunia takriban kumi na matano ya kahawa kutoka kiwanda hicho.