- 234 viewsDuration: 1:08Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 2.4 kwa zaidi ya walengwa milioni 1.2 chini ya mpango wa inua jamii. Katibu katika idara ya ulinzi wa jamii, joseph m. Motari, amesema fedha hizo zinalenga kupunguza umaskini na kuboresha maisha ya wananchi wasiojiweza. Ameongeza kuwa zaidi ya walengwa milioni 1.5