- 552 viewsDuration: 3:16Shirika la Msalaba Mwekundu limeendesha zoezi la kuigiza jinsi ya kukabiliana na majanga mbalimbali katika eneo la Kacheliba, Kaunti ya Pokot Magharibi. Zoezi hilo limewaleta pamoja wakazi wakiongozwa na machifu wao, likilenga kuwapa ujuzi wa kuchukua hatua za haraka wakati wa majanga.