Skip to main content
Skip to main content

Shangwe na nderemo, kwa matumaini ya kuisha kwa vita Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    21,048 views
    Duration: 28:11
    Wapatanishi wa Israel na Hamas wamekubali awamu ya kwanza ya mkataba wa kusitisha mapigano huko Gaza. Makubaliano hayo yanaoungwa mkono na Marekani yalitiwa saini nchini Misri, na yatapelekea kuachiliwa huru kwa mateka wote wa Israel na kuachiliwa kwa wafungwa wa kipalestina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw