- 668 viewsDuration: 2:39Mradi wa ujenzi wa jumba la kibiashara kwenye ardhi ya serikali mjini Naivasha kaunti ya Nakuru umezua tetesi na maswali kuhusu umiliki wake. Wakaazi na viongozi wa eneo hili wakisema hawafahamu ni kwa nini ujenzi huu unaendelea licha ya serikali kubomoa biashara zilizokuwa kwenye ardhi hiyo miaka mitatu iliyopita. Wakazi sasa wakidai unyakuazi wa ardhi ya umma