- 728 viewsDuration: 2:43Familia ya mvuvi aliyetoweka Nakuru Brian Odhiambo sasa inalalamikia kile inasema ni njama ya kuchelewesha utekelezaji wa agizo la mahakama la kutafuta mwili wake unaoaminika kuzikwa kwenye mbuga ya Wanyama ya Nakuru. Odhiambo alitoweka mwezi Januari mwaka huu akiwa chini ya ulinzi wa maafisa wa shirika la KWS