Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wamtaka Polisi aliyemkamata kijana mtaa wa Saika kufichua aliko wiki sita baadae

  • | Citizen TV
    9,928 views
    Duration: 3:01
    Kitendawili cha kutoweka kwa kijana kutoka mtaa wa saika hapa Nairobi kwa wiki sita sasa bado hakijapata jibu. Charles Ndungu alitoweka baada ya kukamatwa na polisi mtaano humo. Sasa wakaazi wa eneo hili wanataka majibu kutoka kwa polisi kuhusu aliko ndung'u zaidi ya mwezi mmoja sasa