Ufadhili wa maeneo kame

  • | Citizen TV
    109 views

    Jamii Za Wafugaji Kutoka Maeneo Kame Ya Kaunti Za Marsabit,Mandera,Wajir Na Turkana,Zimeendelea Kuisihi Serikali Pamoja Na Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Kundeleza Mpango Wa Kuwafadhili Kwa Fedha.Kilio Cha Jamii Hizi Kimetiliwa Makazo Wakati Mfumo Wa Kutoa Ufadhili Wa Fedha Ukikumbwa Na Mawimbi Makali Ya Ustawi Kutokana Na Hali Ngumu Ya Kiuchumi Duniani.Michael Athinya Anaarifu.