Viongozi wa ODM wanasema hatua ya vijana itasaidia kulainisha magatuzi

  • | NTV Video
    299 views

    Wanachama wa chama cha ODM mkoani Pwani wametetea wito wa kinara wa upinzani Raila Odinga wa mazungumzo na rais William Ruto kuhusu masuala yaliyoibuliwa na vijana wa kizazi Gen-z wakisema mazungumzo ndio suluhu pekee.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya