Vyuo vikuu vyatakiwa kuzindua mafunzo na utafiti wa akili mnemba

  • | KBC Video
    6 views

    Wadau wa sekta ya teknolojia wametoa wa kuimarishwa kwa muundpo mbinu katika tasisi za elimu ya juu ili kujumuisha akili mnemba katika masomo utafiti. Meneja mkurugenzi wa kituo cha ustawi wa bara Afrika cha kampuni ya Microsoft Catherine Muraga amesema kuwa ipo haja ya ushirikiano miongoni mwa wadau wa sekta ya kibinafsi na serikali kushughulikia mapungufu yaliyomo katika mfumo wa sasa wa elimu ya vyuo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive