Rais awafuta kazi mawaziri, Gachagua na Mudavadi wasazwa

  • | KBC Video
    36 views

    Rais William Ruto amevunja baraza lake lote la mawaziri baada ya maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen Z kushinikiza uwajibikaji serikalini. Aidha, Ruto amewadumisha naibu wake, Rigathi Gachagua na waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi. Rais amewaagiza makatibu wa wizara kuchukua jukumu la kusimamia utekelezaji wa shughuli za serikali huku akishauriana na wadau mbali mbali na mirengo ya kisiasa kuhusu hatua ya kubuni baraza jipya la mawaziri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive