Baadhi ya mawaziri walidhihirisha kutoelewa majukumu

  • | KBC Video
    64 views

    Hatima ya mawaziri wengi ilikuwa imejulikana na ulikuwa muda wa wao kutimuliwa. Kwa mara kadhaa rais aliwakosoa baadhi ya mawaziri wake na hata wakati mmoja alighadhabishwa na utendakazi wa baadhi yao akisema hawaelewi majukumu yao na wameshindwa kuwahudumia Wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive