Embu: Wahuni wavamia jengo la shirika moja na kuiba stakabadhi zilizokuwa na data ya waliokopa pesa

  • | NTV Video
    629 views

    Shirika moja la kijamii katika mtaa wa Dallas, Embu sasa linakadiria hasara kubwa baada ya wahuni kuvamia jengo lao na kuiba stakabadhi zilizokuwa na data ya waliokopa pesa pamoja wawekezaji kwenye shirika hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya