Aliyekuwa afisa wa upelelezi wa jinai Nairobi Central awasilisha ushahidi

  • | Citizen TV
    2,959 views

    Aliyekuwa afisa wa upelelezi wa jinai wa Nairobi Central, Tiberius Ekisa, amekana kumfahamu Isiah Murangiri, afisa wa polisi ambaye ni mshukiw amkuu w amauaji ya Rex Masai aliyefariki kwenye maandamano ya kupinga mswada wa fedha mwaka jana jijini Nairobi. Ekisa ameieleza mahakama kuwa Isiah Murangiri, hakuwa chini ya amri yake tarehe 20 mwezi Juni mwaka jana wakati ambapo Rex aliuwawa.