Wadhamini wa visa vya wizi wa mifugo wachunguzwa

  • | Citizen TV
    344 views

    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema kwamba vitengo vya Usalama katika bonde la Ufa vinachunguza wadhamini wa wizi wa mifugo wanaojumuisha Viongozi wa kisiasa, kidini na wanaharakati. Waziri Murkomen vile vile alitoa tahadhari kuhusu visa vya mauaji na visa vya watu kula miili ya binadamu.