Uhuru wa vyombo vya habari

  • | Citizen TV
    684 views

    Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano nchini David Mugonyi hii leo alikumbana na maswali mazito kuhusu hatua ya mamalka hiyo ya kufunga vituo vya televisheni na kuzuia upeperushaji wa matangazo ya moja kwa moja wakati wa maandamanao ya Juni 25 mwaka huu. Wabunge walisema kwamba mamlaka ya mawasiliano ilikiiuka sheria na kukaidi uhuru wa vyombo vya habari katika kufunga vituo vya televisheni kwa madai kuwa vilionyesha picha zilizochopchea maandamano na machafuko zaidi.