Kilio cha waathiriwa wa maandamano

  • | Citizen TV
    798 views

    Ripoti za upasuaji wa maiti ya vijana wawili waliouwawa kwenye maandamano katika kaunti za Kirinyaga na Nyandarua zimebaini kuwa walifariki kutokana na majeraha ya risasi. Peter Macharia na Edwin Murimi walipigwa risasi kichwani na kufariki baada ya kufuja damu nyingi. Haya ni huku familia zao hatimaye zikiruhusiwa kuwazika baada ya uchunguzi wa maiti kucheleweshwa.