Tana River: Vijana wa jamii ya Watta wahitajika kuua simba au chui ile kupata mke

  • | NTV Video
    722 views

    Katika kitongoji kidogo cha Watta Hamesa, eneo bunge la Galole, Kaunti ya Tana River, utakutana na jamii ya Watta, ambao awali walijulikana kama Wasanye, wakijizatiti kuhifadhi mila zao za kipekee katikati ya mawimbi ya kisasa. Ingawa baadhi ya desturi kama ukeketaji wameziacha, mila nyingine kama harusi za kiushujaa na njia za kipekee za kutatua mizozo bado zinahifadhiwa kwa uangalifu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya