Bomet: Mahakama kuu yatoa mwelekeo mpya kuhusu kesi ya kifo cha mtoto wa umri 3, Diana Chepngeno

  • | NTV Video
    648 views

    Mahakama kuu mjini Bomet imeielekeza timu ya utetezi katika kesi inayohusisha Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Longisa, ambayo inashtakiwa kwa tuhuma za uzembe wa kimatibabu uliosababisha kifo cha mtoto wa umri wa miaka mitatu, Diana Chepngeno, kuwasilisha nyaraka zozote za nyongeza ndani ya siku saba.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya