Azimio yashinikiza uwajibikaji serikalini

  • | KBC Video
    12 views

    Kinara wa Azimio leader Raila Odinga amefafanua kwamba hatua yake ya kushirikiana na serikali inanuiwa kufanikisha mdahalo na wananchi ili serikali iweze kushughulikia masuala ya kitaifa yanayoathiri taifa hili bali pia siyo maslahi ya kibinafsi ya kisiasa. Raila alitoa shinikizo ya kufanya mageuzi katika idara ya mahakama,akisema uvamizi wa bunge na vijana wa Gen-z ilikuwa dhihirisho ya kukosa imani ya wananchi na kwamba bunge hilo linapaswa kuvunjiliwa mbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive