Wafugaji Samburu wafahamishwa mbinu za kupanda lishe ya mifugo

  • | Citizen TV
    413 views

    Swala la utoshelevu wa chakula, sawa na lishe ya mifugo, linazidi kuitatiza jamii ya wafugaji, hali ambayo imewavutia wadau mbali mbali kuingilia kati kutoa mafunzo ya upanzi wa nyasi na kufadhili kilimo Cha unyunyiziaji maji mashamba ili kukabiliana na tatizo Hilo.