Misa ya wafu ya jaji wa mahakama kuu David Majanja inafanyika leo

  • | Citizen TV
    402 views

    Ibada ya wafu ya aliyekuwa jaji wa mahakama kuu David Majanja inafanyika katika kanisa la Friends Church Ngong road.