Haki kwa mwanahabari Catherine Wanjeri aliyepigwa risasi kaunti ya Nakuru

  • | K24 Video
    19 views

    Wanahabari katika kaunti ya Nakuru wamekashifu ufyatuaji risasi wa polisi uliomuacha mwanahabari wa runinga ya kameme Catherine Wanjeri Kariuki na majeraha makubwa kwenye mguu wake wa kulia. Hii muungano wa wanahabari wa kaunti hiyo kupitia mwenyekiti wake Joseph Openda umewasilusha matakwa yake kwa kamanda wa polisi Samuel Ndanyi katika kituo cha polisi cha Central.