Wanariadha wa kwanza wa olimpiki kufika Paris walianza kuingia katika kijiji cha Olimpiki hapo jana

  • | Citizen TV
    657 views

    Wanariadha kutoka Australia, Afrika Kusini, Japan, Uruguay na Marekani walikuwa wa kwanza kufika katika kijiji hicho kilichopo Saint-Denis, jirani na jiji la Paris ambako mashindano mengi yatafanyika.