Azimio imepinga mpango wa Raila wa kushirikiana na Rais kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

  • | NTV Video
    382 views

    Mrengo wa vinara wa Azimio la Umoja One Kenya unaoongozwa na Kalonzo Musyoka umepinga mpango wa kinara wa Azimio Raila Odinga kushirikiana na rais William Ruto kwa malengo ya kubuni serikali ya umoja wa kitaifa. Kalonzo ameshikilia kuwa huko kutakuwa ni kusaliti waandamanaji vijana waliojipata taabani kwa kuisukuma serikali ya rais Ruto kutekeleza matakwa yao ya kimsingi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya