Wizara ya masuala ya kigeni imetoa orodha ya mashirika vilivyopokea ufadhili kutoka Ford Foundation

  • | NTV Video
    4,681 views

    Wizara ya masuala ya kigeni hii leo imetoa orodha ya mashirika ya kijamii na vyombo vya habari vilivyopokea ufadhili kutoka kwa wakfu wa ford huku ikitaka shirika hili kuweka wazi jinsi shirika la ford liliyafadhili mashirika hayo kwa dola milioni moja unusu yani zaidi ya shilingi milioni mia moja na tisini za kenya kwa kipindi cha mwezi mmoja.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya