Vyuo vya kiufundi vinatarajiwa kusherehekea miaka-100 ya kuhudumu

  • | KBC Video
    24 views

    Sekta ya vyuo vya mafunzo ya kiufundi TVET inajiandaa kusherehekea miaka 100 tangu ianzishwe tarehe 31 mwezi julai katika chuo cha kitaifa cha mafunzo ya kiufundi cha Kabete amgbako ilianzishiwa.Katibu wa mafunzo ya Kiufundi Esther Muoria amesema sherehe hizo zitakazohudhuriwa na Rais William Ruto zitawaleta pamoja wadau wa sekta hiyo, wwatungaji sera, washirika wa kimaendeleo na walimu wa vyuo vya kiufundi.Sherehe hizo zimewadia wakati huu ambapo sekta ya mafunzo ya kiufundi inatekeleza mpango wa mafunzo unaowahitaji wanafunzi kutumia nusu ya muda wao wa masomo viwandani na nusu madarasani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive