Viongozi wa kaunti ya Nandi wataka waandamanaji kusitisha maandamano hayo

  • | Citizen TV
    2,652 views

    Viongozi wa kaunti ya Nandi wakiwemo viongozi wa kisiasa, viongozi wa baraza la wazee wa Nandi kaburwo pamoja na Viongozi wa kidini wametoa wito kwa waandamanaji kusitisha maandamano hayo na kuruhusu mazungumzo kufanyika.Wakizungumza mjini Kapsabet baada ya ya kuandaliwa kwa maombi, Viongozi hao wamewatakawaandamanaji kufuata sheria wanapotekeleza haki zao za kikatiba.