Ruto amgeuza Soipan na Duale

  • | Citizen TV
    34,042 views

    Rais William Ruto amefanya mabadiliko kwenye uteuzi wake wa baraza la mawaziri, akimbadilisha Aden Duale kuwa waziri mteule wa ulinzi hadi wizara ya mazingira, huku akimpa Soipan Tuya majukumu mapya ya wizara ya ulinzi. Haya yanajiri huku shughuli ya kuwasaili mawaziri 10 wateule ikitarajiwa hivi karibuni