Mawaziri waliotemwa na Rais Ruto

  • | Citizen TV
    20,567 views

    Rais william ruto leo amejaza nafasi za uteuzi wa mawaziri ISIPOKUWA nafasi moja na hivyo kuangusha kabisa shoka lake dhidi ya waliokuwa mawaziri hapo awali. Kumi na wawili waliotemwa hapo awali walikuwa na matumaini ya kurejea kwenye baraza la mawaziri lakini wakaachwa nje na kuzima kabisa matumaini yao. Brenda Wanga anaarifu zaidi kuhusu kuzimwa kwa baadhi ya mawaziri hawa wa zamani