Rais William Ruto apunguza wawaziri wanawake

  • | NTV Video
    803 views

    Rais William Ruto leo amewataja wanawake wengine wawili kujiunga na baraza la mawaziri kufuatia kuvunjwa kwake hivi majuzi. Wawili hao ni Stella Soi katika wadhifa wa Jinsia, na Rebecca Miano katika Wizara wa Utalii. Kwa sasa, Baraza la mawaziri la Rais Ruto lina wanawake sita, tofauti na baraza la mawaziri lililopita lililokuwa na wanawake 7.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya