Skip to main content
Skip to main content

Mwenyekiti wa NPSC Amani Komora asema mvutano kati ya mkuu wa polisi na NPS utatatuliwa

  • | NTV Video
    500 views
    Duration: 3:48
    Mwenyekiti wa tume ya huduma za polisi NPSC, Amani Yuda Komora, amesema kuwa katu hakutashuhudiwa mvutano au mgawanyiko baina ya tume yake na usimamizi wa huduma wa polisi, kuhusu uajiri wa maafisa elfu kumi pindi mahakama itakapotoa ruhusa ya kuendelea kwa shughuli hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya