- 14,164 viewsDuration: 2:03Askari wa GSU aliyekuwa akilinda ikulu ya Nairobi ameuawa baada ya kuchomwa mshale na mtu aliyekuwa akijaribu kuingia eneo hilo. Kisa hiki kilitokea wakati mshukiwa alipojaribu kuingia ikulu kwa lazima. Haya yamejiri huku afisa mwingine wa GSU pia akivamiwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta na kuuawa