Skip to main content
Skip to main content

Mchujo wa DCP waendelea Ol Kalou huku wapiga kura wakimiminika kwa wingi

  • | Citizen TV
    14,861 views
    Duration: 3:05
    Mchujo wa vyama vya kisiasa umeendelea kwa siku ya pili katika eneo bunge la Ol Kalou, chama cha DCP kikiandaa zoezi hilo kutafuta mjumbe atakayeperusha bendera ya chama katika uchaguzi wa Julai,16. Zoezi la Jumamosi lilishuhudia idadi kubwa ya wapigakura waliojitokeza kuamua ni nani kati ya wawaniaji tisa atakayetosha kumenyana debeni na Samuel Muchina Nyaga wa UDA na Wilson Kigwa wa chama cha Jubilee.