Wakazi wa Kijiji Cha Korongoi wanalalamikia ukosefu wa umeme kwa muda wa wiki mbili

  • | Citizen TV
    182 views

    Wakazi wa Kijiji Cha Korongoi katika eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho wanalalamikia ukosefu wa umeme. wakazi hao wanailaumu kampuni ya umeme ya Kenya power kwa kupuuza tatizo hilo .