Familia moja inahitaji msaada wa shilingi milioni 15 kuwezesha wanao kupata matibabu

  • | KBC Video
    7 views

    Familia moja mtaani Donholm kaunti ya Nairobi inajitaji msaada wa shilingi milioni 15 kuwezesha wanao wawili: mmoja wa umri wa miaka miwili na mwengine umri wa miezi saba kuelekea nchini India kwa matibabu ya uboho. Watoto hao wanaugua ugonjwa wa selimundu ambao umesababisha kupungua kwa chembe chembe za damu nyekundu na kasoro kwenye protini ya himoglobini. Seli hizi zimeathiri mtiririko wa damu mwilini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive